Kutokana na visa vingi vya ajali za moto na majanga mbalimbali jaribu kufikiria kila mahali ulipo. Je kukitokea na hatari, utawezaje kuyaokoa maisha yako? Kwa hivyo jaribu kuangalia vile utatoka.
Ukiangalia hata kanisani siku hizi, si salama kwani hivi juzi kule Garrisa waumini walishambuliwa wakiwa kwente ibada.
Wakati wa majanga watu hufa si kwa sababu ya ajali bali ni kshutuka.Kwa hivyo wakati wa ajali tulia chukua muda wako, ufikirie ndo uchukue hatua.
Je kukitoke na moto, unastahili ufanye nini?
* Washa alarm ya hatari/piga yowe,
*saidia wengine kutoka nje,
*Zima mitambo yote ya umeme.
*Tafuta vifaa vya kuzima moto IKIWA wewe una ujuzi huo na kama huna TAFADHARI okoa maisha yako.
*Itisha usaidizi.
SHERIA.
Kila mara kuna janga la moto TUMIA NJIA AMBAYO NI SALAMA, FUPI NA SAHIHI..
Kesho tutaendelea.